After kujikaza kwa a toxic relationship na Sue, Kades ana-decide kumuacha. Kidogo kidogo, Kades anajipata kwa scandal kubwa yenye ina-threaten reputation na position yake kama MCA. Kumbe Sue, mama'ke na MCA Tom, wamepanga kila kitu, kuangusha Kades. Kades atajitoa kwa hii ngori aje? Cheki stori...
Creator

Comments