skip content

Mechi Imejipa short-story comic

Short story

Inspirational

Mechi Imejipa

JEFF after kujitetea na kutupa lugha masiku mingi, amepewa chance ya toa uvajo na MPENZE. Mpenze anadai kuanza kujibamba; Anasema yeye sasa ni big girl. Kwa hii story, tunacheki mavajo wawili waki try kuingia kwa scene. Vitu ni tricky - Maswara na ma pressure ni mingi! Watatoboa?