skip content

BIZ KUTELEZA tiptoon comic

Informative

Short story

BIZ KUTELEZA

Kwa hii story, JK ana-struggle kuelewa mbona biz yake ya cyber inaendelea ikienda losses. Itabidi ameangalia records zake na kuskiza wateja ndio ajue kenye kufanya next. Huku ana-plan vile ataleta new services ku-capitalise na vile technology ime-advance, JK ana-realise ata-have ku-take action asipitwe na wakati.